0
Msemaji mkuu wa Harakat Al-Shabab Al Mujahideen Sheikh Mahamuud Ali Rage Al Maarufu (Sheikh Ali Dere) usiku huu amezungumza na Idhaa ya Kiislaam ya Radio Al Furqaan na kufafanua shambulio iliyowalenga wafanyakazi wa Umoja wa Mataifa katika mji wa Garowe leo.


Shekhe ambae aliulizwa maswali mbalimbali amesema lengo la kuishambulia UN ni kwamba inaongoza na kuifadhili uvamizi uliofanywa katika Ardhi ya Somalia na pia inaendelea na Madhila kwa wananchi wa Somalia walioko katika Mikoa kadhaa nchini Somalia. 



Aidha amewaonya wafanyakazi wa UN kuendelea kukaa katika Ardhi ya Somalia huko wakiendelea kuwasumbua wananchi wa Kiislaam,"hakuna sehemu itakayopata Salama UN,na wakiendelea kukaa Ardhi ya Somalia basi tunawaambia muwe tayari kuzionja Panga zetu",alisema Sheikh Ali Dere

Post a Comment

 
Top