Mc Pilipili.
Masele na Mkewe
MC Pilipili amekuwa akiweka picha mara nyingi katika mitandao ya
kijamii zinazomuonyesha yeye na mchumba wake huyo wakiwa mapumzikoni.
Rose amezua hali ya utata juu ya taarifa hiyo kwani mara tu baada ya
shoo kubwa iliyofanyika Decemba 25 2016 Dodoma, Rose hakuweka picha
yoyote ikiwaonyesha wawili hao katika mitandao ya kijamii.
Pilipili ameendelea kuweka picha zinazoonyesha familia yao, yaani yeye,
Rose na mtoto wa Pilipili aitwaye Mariam Emmanuel Mathias.
Rose Ndauka na Mc Pilipili
Paliwahi kuenea video fupi katika mitandao ya kijamii ikimuonyesha
mchekeshaji Emmanuel Masanja akimchapa viboko Emmanuel Mathias (MC
Pilipili) kwa kudai kwa nini mpaka hii leo bado hajaoa ambapo MC huyo
ameahidi mwaka huu anaweza kufanya chochote katika suala hilo la ndoa
Post a Comment