Zanzibar inaadhimisha miaka 51 ya Mapinduzi, yalioung'owa utawala wa Sultani.
Kuna Kumbukumbu nyingi za
mapinduzi hayo na baadhi ya wazee walioshiriki wanasimulia jinsi
walivyopanga mapinduzi hayo, katika taarifa ya Arnold Kayanda akiwa
Visiwani Zanzibar.
Post a Comment