Mfalme
wa Jordan na Rais wa Palestinian Mahmoud Abbas ni baadhi ya viongozi
kutoka Mashariki ya kati walioshiriki katika maandamano yaliyofanyika
mjini Paris Ufaransa kulaani shambulio la kigaidi lililofanyika mjini
Paris.
Morocco haijawasilisha uwakilishi wa salam za rambi rambi
kutokana na msimamo wake tofauti na mwenendo wa Gazeti la Charlie Hebdo
kutokana na vibonzo ambavyo vimekuwa vikichorwa hasa vile vinavyolenga
masuala ya kidini.Rais Hollande aliungana pia na Waziri mkuu wa Israeli Benjamin Netanyahu,katika Sinagogi la Grand kuomboleza kwaajili ya waathirika wane wa shambulizi la kigaidi katika Supermarket . Netanyahu alimshukuru mmiliki wa Supermarket iliyoshambuliwa Lassana Bathily kwa jitihada zake katika kuwaokoa mateka waliokuwa ndani ya jingo hilo.
Post a Comment