Kourtney na Khloe ni dada zake za Kim Kardashian
Kwenye show hiyo ya msimu mpya iliyoruka jana, November 2, Vanessa Mdee anaonekana akimhoji rapper French Montana.
Show hiyo ilianza kwa kuonesha safari ya Khloe nchini Afrika Kusini ambako alimsindikiza aliyekuwa mpenzi wake huyo, kwenye MTV African Music Awards 2014, zilizofanyika June.
Vanessa akiwa kama mtangazaji wa MTV Base ndiye aliyewahoji wasanii hao na hivyo sehemu aliyokuwa akimhoji Montana imeonekana kwenye Kourtney And Khloe Take The Hamptons.
Post a Comment