Buck aliongea hayo mbele ya wenzake kwenye mahojiano na kituo cha Hot 93.1 cha Hartford, Connecticut.
“Najua yote haya sio halisi.. nadhani furaha kubwa na ya kweli ipo kwa mashabiki. Kwa wasanii, hapana, sijui. Ni kama sikuwa naona yoyote kati yenu washkaji mlikuwa mkijaribu kupigia debe kurejea kwa G-Unit wakati tulipokuwa tumetangana,” alisema rapper huyo.
Kundi hilo linaundwa na 50 Cent, Young Back, Tony Yayo, Lloyd Banks na Kidd Kidd.
Post a Comment