Msanii Waje kutoka Nigeria, Victoria Kimani toka pande za
Nairobi, Kenya na maneja wa T.I., Jason Geter, wamewasili jana kupitia
uwanja wa ndege wa kimataifa Julius Nyerere tayari kabisa kwaajili ya
Serengeti Fiesta 2014 jijini Dar Jumamosi hii.
Victoria Kimani akiwa na mtangazaji wa Clouds TV, Lady Haha
Wasanii wengine wanaotarajiwa kutua usiku wa leo ni Davido na Patoraking. T.I. ataingia Dar Ijumaa usiku.
Post a Comment