Kundi la Maroon 5 lipo kwenye kiti moto kutokana na video yake mpya ya wimbo ‘Animals’.
Video hiyo mpya chini ya kiongozi wa bendi hiyo, Adam Levine inadaiwa
kuonesha ukatili wa kimapenzi dhidi ya wanawake licha ya muimbaji huyo
kumtumia mke wake Behati Prinsloo kama model. Itazame hapo juu.
Post a Comment