0
Msimu wa tano wa tamthilia ya Marekani ya The Walking Dead imeangaliwa na watu milioni 17.3 na kuvunja rekodi ya TV za cable nchini humo.
_78206130_dfed63d8-aef3-5e47-bdc7-34b39b099b3e_twd_411_gp_0927_0147
Kwa mujibu wa kampuni ya Nieslen, hiyo ni idadi kubwa kuwahi kufikiwa na kipindi kisicho cha michezo nchini Marekani.
Uzinduzi wa msimu uliopita wa tamthilia hiyo ambayo muigizaji mkuu ni Andrew Lincoln, ilikuwa na rekodi ya kuangaliwa na watu milioni 16.1 mwaka jana.

Post a Comment

 
Top