0
Boss wa Maybach Music Group (MMG), Rick Ross ameachia single mpya iitwayo ‘Keep Doin’ That (Rich B**ch)’ alhamisi ya wiki hii, wimbo ambao amemshirikisha R.Kelly.
rossey
‘Keep Doin’ That (Rich B**ch)’ ndio official single ya kwanza kutoka kwenye album mpya ya Rozay ‘Hood Billionaire’ inayotarajiwa kutoka November 24.
Wimbo huo umefanyiwa shooting Jumatano ya wiki hii huko Georgia, na miongoni mwa mastaa wataoonekana ni pamoja na Young Jeezy.
Ingia hapa kusikiliza ‘Keep Doin’ That (Rich B**ch)’
Rozay ameshare picha chache za behind the scenes
Rozay4
Rozay3
rozay1
Rozay5
Rozay2

Post a Comment

 
Top