New Music Video: Bushoke aachia video ya single yake mpya ‘Bwagamoyo’
Muimbaji Ruta Bushoke ambaye kwa sasa anaishi Afrika Kusini, ameachia video ya single yake mpya ‘Bwagamoyo’. Bushoke alivunja ukimya wa muda mrefu mwishoni mwa July kwa kuachia audio ya wimbo huu. Video imeongozwa na director Romeo Moboko.