Wimbo wenye ujumbe muhimu kwa waliokataa tamaa kutoka kwa
mhadhili msaidizi wa chuo kikuu cha Saint Augustine cha Mwanza, Wynjones
Kinye ‘Asubuhi Itafika’ umewagusa watu wengi na tena wengine huwezi
kuwategemea. Mmoja wa watu waliokoshwa na wimbo huo ni msanii mkongwe wa
Uganda, Maurice Kirya
.

Huu ni ujumbe wa watu wengine walioguswa na wimbo huo.