Juma Nature
Juma Nature ameiambia Bongo5 kuwa kwa sasa anarekodi matukio mbalimbali ya kuweka kwenye documentary hiyo.
“Unajua maisha ya muziki ni kama ni kama series ya filamu kabisa. Mimi nimetokea mbali sana kwahiyo kuandaa documentary ni kitu cha muhimu. Mashabiki wasubiri ujio ya documentary ya maisha yangu. Nipo katika hatua za mwisho. Yaani kila kitu kitakuwa wazi ikimalizika. Pia kuna kuna shughuli kubwa ya kijamii inakuja baada ya kumaliza kazi hii,” alisema Nature.
Post a Comment