0
Kwa mujibu wa mtangazaji wa Hot 97, Peter Rosenberg, Amber Rose alimfumania Wiz Khalifa akiwa kitandani na wasichana wawili mapacha.
Amber-Rose-and-Wiz-Khalifa-2
Rosenberg ambaye yeye na mke wake ni watu wa karibu na Amber amesema wasichana hao ni mapacha wanaofanana, waitwao Jas na Ness.
927855_1471448176407840_1740701095_n
Jass na Ness
1170624_238472206318345_878824422_n
Wawili hao walionekana wakipiga picha na Wiz wiki mbili kabla ya siku hiyo.

Post a Comment

 
Top