0
Jose Chameleone wa Uganda amethibitisha kuwa ndoa yake iko salama baada ya mtandao wa UGO wa Uganda kuripoti kuwa mkewe Daniella ameondoka nyumbani baada ya Chameleone kuchepuka.
Jose and Daniella
Mwimbaji huyo wa ‘Tubonge’ amepost video Instagram akiwa na mke wake Daniella huku akizungumza maneno haya:
Yoh, Professional Journalism, jifunzeni kuwa professional, huyu ni mke wangu, mali yangu ni mali yangu, mali yangu ni mali yangu, mwa mwa mwa mwa (akambusu) haters nendeni mkajinyonge, mxiuuuuu” (akasonya).
javascript:;

Post a Comment

 
Top