Vanessa Mdee pamoja na Diamond Platnumz ndio wasanii wa Tanzania
waliotajwa kuwania tuzo za ‘All Africa Music Awards’ AFRIMA 2014 huko
Nigeria.
Vanessa ametajwa kuwania vipengele viwili ambavyo ni ‘Msanii Bora wa
kike Afrika Mashariki’ pamoja na ‘Best African RNB Soul’ kupitia wimbo
wa ‘Come Over’.
Vee Money anachuana na Wahu na Size 8 wa Kenya, Maurica Kirya wa Uganda, na 2Face wa Nigeria.
Upigaji kura unatarajiwa kuanza Jumanne ya wiki ijayo September 30 na tuzo zitatolewa November 9, 2014.
Vanessa ameshare furaha yake na kuwashukuru mashabiki kwa kuandika:
“Just found out I got 2 @AFRIMAWARDS nominations!
#BestFemaleEastAfrica #BestAfricanRNBSoul #Tanzania #Africa ASANTE I’m
over that moon.”
Post a Comment