Weekend iliyopita, Mkubwa na Wanawe walikuwa wakitambulisha
bendi yao (Yamoto Band) katika wilaya yao ya Temeke, jijini Dar es
Salaam. Uzinduzi huo ulifanyika kwenye viwanja vya Dar Live. Hizi ni
picha za tukio hilo.
Chege akiwapa sapoti wadogo zake
Chege na Temba
Post a Comment