Wakati mastaa wengine wanahaha baada ya picha zao za utupu
kuvujishwa mtandao bila ridhaa zao, stripper wa zamani na mke wa rapper
Wiz Khalifa, Amber Rose ameamua kutowasubiri hackers wafanye mambo, kwa
kuamua kuvujisha mwenyewe picha yake ya utupu kupitia akaunti yake ya
Instagram.

Amber ambaye ni mama wa mtoto mmoja alishare picha hiyo na kuandika:
“Well before anyone tries to hack me I figured I’d release a
brand new pic of how I actually look from the back. It’s only right…
Enjoy”.
Post a Comment