Nick Cannon ambaye kwasasa ndie meneja mpya wa kazi za Amber Rose, amedai kuwa hakuna kitu chochote zaidi ya kazi kinachoendelea kati yao.
Vyanzo vimeiambia TMZ kuwa, Nick amekuja kufahamu kuwa Amber ana matatizo ya kifamilia kupitia mwanasheria wake wiki iliyopita baada ya kusaini nae mkataba kama mteja wake, na ndipo alipofahamu kuwa ndoa ya Amber ina matatizo.
Vyanzo mbali mbali vimedai kuwa Amber na Wiz kila mmoja anamshutumu mwenzake kwa kuchepuka.
Post a Comment