Pindi timu ya Oklahoma City Thunder imetangaza kuwa imemuuza
Hasheem Thabeet kwa Philadelphia 76ers, timu hiyo ilimuacha aondoke
mmoja wa wachezaji wake waliokuwa wakipendwa.
Jumanne hii, Thabeet alitumia mtandao wa Instagram kutoa shukrani zake kwa timu hiyo.
“I WANNA TAKE A SECOND TO THANK YOU OKC.. THE ENTIRE THUNDER ORGANIZATION AND THE FANS HAVE BEEN NOTHIN SHORT OF AMAZING. THE MEMORIES I’VE MADE HERE WILL LAST A LIFETIME AND I APPRECIATE YALL FOR THAT. LOUD CITY; STAY TRILL,” ameandika Thabeet.
Thabeet mwenye urefu wa 7-foot-3, aliuzwa kwa 76ers mwezi uliopita kwa dola milioni 1.25.
Post a Comment