0
Hit maker wa ‘Mdogo Mdogo’ Nasib Abdul aka Diamond Platnumz amesema ingawa watu wanaupenda wimbo wake ‘Kesho’ yeye binafsi hajawai kuupenda.
Diamond
Diamond alikuwa akizungumza kwenye kipindi cha The One Show cha TV1 jana
“Kiukweli kabisa hata nikikaa na watu, Kesho watu wanaipenda nyimbo lakini mimi sijawahi kuipenda. Wa bishoo bishoo ndo wainaipenda Kesho lakini mimi sijahi kuipenda Kesho lakini kipindi hicho nilikuwa naifanya kibiashara,” alisema Diamond.

Post a Comment

 
Top