0
Baada ya kuachana mwezi uliopita, rapper Future na mchumba wake mwimbaji Ciara inadaiwa wamerudiana.
ciara14f-2-web
Vyanzo vya karibu na Future vimeiambia TMZ kuwa, Future na Ciara ambao mwezi May walifanikiwa kupata mtoto, wameamua kuzifanyia kazi tofauti zao na kuanza kuishi tena pamoja ili kumpa malezi bora mwanao ‘Future Zahir Wilburn’.
Futute na Ciara waliachana mwezi uliopita ikiwa ni miezi mitatu toka wapate mtoto. Ciara alimuacha rapper huyo baada ya kugundua alichepuka. Future alimchumbia Ciara mwenye miaka 28 mwezi October mwaka jana (2013

Post a Comment

 
Top