Ben Pol amefanya kava ya wimbo wa msanii wa Uingereza, Sam Smith
‘Stay With Me’. Kwa uwezo wa sauti yake kwenye wimbo huu ni wazi kuwa
Ben ni msanii bora wa rnb kuwahi kutokea Tanzania. Production imefanywa
na Mswaki. Noma sana.
Subscribe to:
Post Comments (Atom)