Mapigano yamezuka tena kwenye
uwanja wa ndege wa kimataifa wa Libya, siku mbili baada ya wapiganaji
kukubaliana kusitisha mapambano.
Ripoti zinasema kuwa vifaru vinatumiwa katika
mapambano makali katika uwanja wa ndege wa Tripoli, ambao umeshambuliwa
kwa makombora na mizinga.Uwanja huo ulianza kushambuliwa juma lilopita na ikalazimika kuufunga.
Wakuu wa Libya wameonya kuwa kazi ya kukarabati uwanja huo itachukua miezi na kugharimu mamilioni ya dola.
Post a Comment