Wapiganaji wa ISIS
Jumuiya ya kimataifa ya kiislamu
amewalalamikia wapiganaji wa kundi ISIS kile kinachodaiwa kuwanyima
haki za kibinadamu wakristo waliopo katika mji wa Masul nchini Iraq
ambapo baadhi yao wamelazimika kuyakimbia makazi ya.
Mkuu wa jumuiya ya kimataifa ya kislam OIC, Iyad
Madani, kulazimika kukimbia makazi yao kwa wakristo kwa sababu ya
wapiganaji hao ni kinyume na misingi ya dini ya kisslam inayosistiza
uvumilivu na ustahimilivu.Maelfu ya Wakristo waliukimbia mji wa Mosul after baada ya wapiganaji wa ISIS kuwalazimisha kubadili dini na kuwa waislam,kulipa kodi ama kuuawa kama wangekaidi.
Mwishoni mwa wiki ISIS waliarifu kushikilia eneo jingine karibu na Mosul.
Post a Comment