0

Katika kuimarisha diplomasia na uhusiano mwema, Kenya inapanga kufungua ofisi katika jimbo la Somaliland lililojitenga na Somalia
Unahitaji toleo sahihi la Flash Player kucheza sauti/video
Jimbo la Somaliland mwishoni mwa wiki lilisherehekea miaka 23 ya Uhuru tangu kujitenga na Somalia.
Jimbo hilo limejaribu pasi kufaulu kutambuliwa kama taifa huru na jamii ya kimataifa.
Katika hatua inayowafurahisha viongozi wa eneo hilo, Kenya imetangaza kuwa itafungua afisi ya uhusiano bora kati yake na Somaliland na pia italiruhusu eneo hilo kufungua afisi yake nchini Kenya.
Sikiliza mahojiano kati ya Maryam Dodo Abdalla na Alex Chamwada ambaye ni mwandishi wa Kenya aliyepo katika mji mkuu wa Somaliland, Hergeisa kuhusu maadhimisho hayo.

Post a Comment

 
Top