Media Player
Mama mmoja mjini Nairobi amechukua tahadhari kuwalinda vijana wake kwa kuwapa Kondomu ili kuwalinda dhidi ya maradhi ya Ukimwi
Unahitaji toleo sahihi la Flash Player kucheza sauti/video
Jinsi maisha ya sasa
yanavyokwenda, wewe kama mzazi unaweza kumpa mtoto wako zawadi gani
ambayo daima hatakusahau? Je ni pesa? Hapana.
Na Jee Elimu? Labda! Lakini, mama mmoja mjini
Nairobi anaona zawadi kubwa inayowafaa watoto wake na hata wale wa
jirani zake ni mipira ya Kondom.Mwandishi wetu Seif Abdallah alikutana na mama huyo anayesema kuwa anawakinga vijana wake kutokana na maambukizi ya HIV mjini Nairobi.
Post a Comment