0

25/09/2013


Bofya hapo chini kufungua na kuona majina ya waliochaguliwa, shule watokako na kambi wanazokwenda Septemba 28, 2013:

TAARIFA MPYA iliyotolewa Sept. 26, 2013 KWA WANAOTAKA KUAHIRISHA MAFUNZO


VIJANA WA MUJIBU WA SHERIA AWAMU YA TATU 28 SEPTEMBA 2013.
Vijana waliochaguliwa kujiunga na JKT awamu ya tatu na pia wamechaguliwa kujiunga na vyuo vya elimu, wambao wanataka
kuahirisha mkataba wa JKT, wanatakiwa kuandika barua Makao Makuu ya JKT kuomba kuahirisha mkataba wa JKT.

1.  Barua binafsi kuomba kuahirisha mkataba iwe na picha yake.

2.   Nakala ya barua ya kucahguilwa kujiunga na chuo (Joining instructions)

3.  Barua hiyo ieleze kuwa utajiunga na JKT baada ya kuhitimu masomo.

4.   Barua zao zifike Makao Makuu ya JKT kabla ya tarehe 02 Kotoba, 2013.

ANGALIZO

Kujiunga na JKT kwa mujibu wa sheria ni lazima. Hivyo ni wajibu wa kila mhitimu kuhudhuria mafunzo hayo.

Agizo hili limetolewa na Jeshi la Kujenga Tafia, Makao Makuu.

---
tovuti: http://jkt.go.tz/mkataba-jkt.html

Post a Comment

 
Top