Mwaka 1999, WaterCar ilianza kama changamoto binafsi kujenga kasi zaidi duniani
Katika Tecknlogia
leo tunaangazia Magari haya yaliyotengenezwa kwa tecknologia ya kipekee
kabisa na kushangaza. Magari haya kwa jina yanaitwa WATER CAR kwa tafsiri ya lugha yetu tunayaita MAGARI MAJI. Mwaka 2010 magari haya yaliboreshwa rasmi na kuanza kutumika.
MALENGO: Malengo makubwa ya kutengeneza magari Ambayo yanauwezo wa kutembea Kwenye Maji na Nchi kavu. Baada ya mwaka 2010 magari haya kutengenezwa yalipewa tuzo ya Guinness amphibious speed record, moja kwa moja yaliachiwa kwa raia na kuanza kutumika rasmi.
MATENGENEZO: WaterCar ya kwanza kutolewa kwa umma, iliundwa na timu Watercar ambayo imeundwa na wabunifu juu na mafundi kutoka Fountain Valley Bodyworks, moja kati ya makampuni makubwa kabisa nchini marekani yanayo shughulika na maswala ya Ubunifu.

Gari hili lina uwezo mkubwa sana katika utendaji kazi wake.
EMBU TAZAMA PICHA ZA MAGARI HAYA
Pia yana uwezo mkubwa sana wa kutembea Sehemu za jangwani
Hii ndiyo teknologia yetu ya leo hapa fm Graphics
Short Video
Facebook Contest Video
HII NDIYO TECHNOLOGIA YETU..................
Post a Comment