Ukitazama Wenzetu
katika Tasnia yao ya Filamu, Hawafanyi masihara kabisa wnaiheshimu kazi
hii na inawaingizia Kipato cha hali ya Juu sana. Katika kulithibitisha
hili Tunakuletea Behind the scene ya Movie inayootwa ELYSIUM ni Movie
kali sana.
HAYA NDIO MATUKIO MABALIMBALI YALIYO
JIRI KATIKA MOVIE HIIHaya ndio maelezo yake kwa ufupi
Elysium is a 2013 American science fiction action-thriller film written, co-produced and directed by Neill Blomkamp and starring Matt Damon and Jodie Foster. It was released on August 9, 2013 in both conventional and IMAX Digital theaters
Initial release: August 7, 2013 (Taiwan)
Running time: 109 minutes
Music composed by: Ryan Amon
Tazama Trailler yake hapa
Post a Comment