Home
»
KITAIFA
» Mwakyembe aagiza wafanyakazi wa Uwanja wa Ndege wakamatwe!
Ni Koplo Ernest, Yusuph, Jackson, Juliana Tadei na Mohamed.
Aidha, amesema wafukuzwe mara moja ni baada ya kupitia CCTV na kuona
namna walivyohusika siku hiyo kwani walionekana wakipiga simu mara
watoke nje kinyume na sheria za chumba cha ukaguzi (vifaa hivi ni kama
vilivyotumika na CHADEMA kuwanasa polisi waliorusha bomu na baadae
kuwashambulia kwa risasi).
Hao waliotajwa hapo juu ni waliofanikisha kupitisha kilo 180 zilizokuwa
zimebebwa na wasichana wawili (Masogange na mwenzake) waliokamatwa huko
Afrika kusini..
============================== ==

By
palalisote
safi sana.. JK ajifunze naye siyo eehe unajua nikiwakamata hawa mapapa nchi itayumba.
Dkt. Mwakyembe akionyesha picha ya Agness Gelard "Masogange" kwa wanahabar
Waziri wa Uchukuzi, Dkt. Harrison Mwakyembe
amewafukuza kazi na kuliagiza jeshi la Polisi nchini kuwaunganisha na
wengine kwenye kesi mahakamani ili kujibu mashitaka ya jinai, wale wote
waliohusika katika kuuwasaidia Agnes Gerald na mwenzake Mellisa
kupitisha dawa za kulevya kuelekea Afrika Kusini ambako walikamatwa
katika kiwanja cha Ndege cha Oliver Thambo nchini humo.
Waziri Mwakyembe ametoa agizo hilo leo, ofisini
kwake, mbele ya waandishi wa habari wakati alipowaita ili kuufahamisha
umma kuhusu hatua zilizochukuliwa na Wizaa yake kuhusu suala la dawa za
kulevya
Post a Comment