Home
»
KITAIFA
» MAJAMBAZI WAPIGWA RISASI KWENYE KITUO CHA MAFUTA CHA GBP MWANZA.TUNAOMBA RADHI KWA PICHA KWANI ZINATISHA.
 |
| Mmoja wa majambazi waliouawa jana kwenye kituo cha mafuta GBP Mwanza jana majira ya saa 2 usiku. |
Tumezipata taharifa hizi kutokwa kwa moja wa wafanyakazi wa kituo cha
mafuta cha GBP Mwanza ambapo majambazi hawa walijalibu kuvamia ili
kuiba.Ndugu Mohamed Sleyim Naddabi alisema,
"Jambazi
hili lilikuwa limeshika panga.Mwenzake aliyekuwa na SMG alipoanguka huyu
akaelekea mbio kuichukua lakini akapambana na risasi ya polisi naye
akagalagala chini."
 |
| Jambazi jingine lililouliwa jana likitaka kupora sheli ya GBP Mwanza . |
Ndugu aliendelea kusema."Hilo
hapo pichani lilikuwa na SMG.Lilitoka kwenye gari likapiga risasi juu
na kuanza kuelekea alipo Mhudumu wa pampu.Kidogo lilisita baada ya kuona
kushoto kwake mita kama 15 hivi kuna mtu mwenye silaha ambaye ni polisi
aliyevaa kiraia.Lilipotaka kumlenga yule polisi alifyatua risasi
iliyolenga sahihi kabisa na kichwa chake!"
 |
| Jambazi jingine lililouliwa jana likitaka kupora sheli ya GBP Mwanza . |
Post a Comment