ROMA MKATORIKI ANAEFANYA POA KATIKA MUZIKI WA HIP HOP AKIWAKILISHA
MKOA WAKE WA TANGA KATIKA FANI9 HIYO KWA SASA NAE AMEKUWA MWANAHARAKATI
WA KUPIGANIA HAKI YAKE KIMUZIKI BAADA YA KUINGIA KATIKA TEAM YA ANACONDA
KUPIGANA VITA VIKALI KUHAKIKISHA ANAPATA HAKI YAKE KISANII NA KAZI
ANAZOZIFANYA.
ROMA AMERIPOTIWA KUWA NAE NI MWANAHARAKATI NA MSANII LADY JAYDEE
ALIPOWATAKA FANS WAKE WAMPE TANO NDUGU MPYA KATIKA FAMILIA YA TEAM
ANACONDA KAMA AMBAVYO NA MIMI NAMKARIRI LADY JAYDEE

Post a Comment