Wafanyakazi waAirtel
wakiwa wameshikana mikono kama ilivyo katika tangazo lao la gazeti na
televisheni kuashiria kuwa huduma ya Airtel Yatosha kifurushi cha SIKU
imeboreshwa na sasa ni masaa 25, ishara hiyo ilifanyika mwishoni mwa
wiki kwenye barabara ya Old Bagamoyo. Aliyevalia kijamii ya Maasai ni Bw. Petro Abraham Lucas ambaye ni muhamasishaji wa huduma ya Airtel Yatosha. Wafanyakazi
wa Airtel Kitengo cha huduma kwa wateja wakiongozwa na Mkurugenzi wa
huduma kwa wateja wa kwanza Bi. Adriana Liamba kushikana mikono
kuashiria kuboreshwa na kuitambulisha rasmi huduma yao ya Airtel Yatosha
kwa wateja ambayo sasa imeboreshwa zaidi ili kumuongezea mteja muda
zaidi wa kutumia kifurushi chake cha siku kwa masaa 25 toka alipojiunga. Mkuu
wa Kitengo cha Biashara mpya cha Airtel Bw, Godfrey Mugambi akiwa na
wafanyakazi wenzake wakiwa wameshikana mikono kuonyesha kweli Airtel
Yatosha. Wafanyakazi
wa Airtel Tanzania makao makuu Dar es Salaam wakiingia barabarani huku
wameshikana mikono kwa maandamano ikiwa ni tukio maalum la kuitambulisha
TOSHA 24+1=25.
Wafanyakazi
wa Airtel toka vitengo mbalimbali wakiwa wamejipanga na kushikana
mikono kuashiria kuboreshwa kwa huduma yao ya Airtel Yatosha kwa wateja
ambayo sasa imeboreshwa zaidi ili kumuongezea mteja muda zaidi wa
kutumia kifurushi chake cha siku kwa masaa 25 toka alipojiunga. Ili
mteja kujiunga anatakiwa kupiga *149*99# , tukio hili lilifanyika
mwishoni mwa wiki katika barabara ya Old Bagamoyo.
Post a Comment