
Wakati
Mkutano wa Viongozi mbalimbali wa dini na Jeshi la Polisi ukimalizika
jana jijini Dar es Salaam, Mwenyekiti wa Chama cha Democratic Party
(DP), Mchungaji Christopher Mtikila amesema mkutano huo ulioitishwa na
Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam Said Meck Sadick, umejaa porojo na kwamba
hauwezi kuleta suluhu yoyote.
Kwa siku mbili, viongozi hao wa kidini walikuwa wakijadili masuala ya
amani ya nchi baada ya kutokea tofauti mbalimbali pamoja na kuwapo
mazingira ya kuhatarisha amani nchini.
Akizungumza Dar es Salaam jana akiwa nje ya ukumbi wa mkutano huo, Mchungaji Mtikila alisema kwa kawaida imani ya
..Read More
Post a Comment