Taarifa zilizotufikia zinasema kuwa Mahakama ya Rufaa nchini Tanzania
imemrejeshea ushindi wa kiti cha Ubunge aliyekuwa Mbunge wa jimbo la
Igunga, Dk Dalaly Peter Kafumu (CCM)
Awali, ushindi wa Dk Kafumu (kura 26,428 kati ya kura zote 53,672)
ulitenguliwa na Mahakama Kuu baada ya mgombea kiti hicho kwa tiketi ya
CHADEMA, Mwl Joseph Kashindye (aliyepata kura 23,260) kupinga matokeo ya
uchaguzi mdogo uliofanyika Oktoba mwaka 2011 akidai ulikuwepo..Read More
Post a Comment