22 Machi, 2013 - Saa 19:51 GMT
Chinua Achebe afariki dunia
Chinua Achebe mwana riwaya
maarufu wa Afrika na duniani kwa ujumla, amefariki dunia mjini Boston,
Marekani akiwa na umri wa miaka 83.
Akijulikana kwa riwaya zake za kusisimua hasa
ile ya Things Fall Apart, alianza kuandika miaka ya mwisho ya 1950 muda
mfupi kabla mataifa mengi ya Afrika kupata uhuru. Ali Saleh anatuelezea
maisha na kazi zake.
Post a Comment