Kwa
uchache Mizinga 10 yaliangukia ndani ya jengo la Wizara hiyo ambayo ni
makao ya Maofisa wakuu wa Jeshi la kigeni la AMISOM na yale ya Ethiopia
pamoja na Serikali ya FG.
Liban
Jehow ambae ni mwandishi wa SomaliMemo mjini Mugadishu amearifu kuwa
wapiganaji wanaoiunga mkono Harakat Al-Shabab Al Mujahideen
walishambulia na kulenga wakati ambapo maofisa wa Serikali ya FG
walipofika eneo hilo ili kuweza kuhudhuria Sherehe uliopangwa kufanyika
kesho.
Post a Comment