Mujahidina wa Al Qaida tawi lake la Arabuni imetangaza zawadi za
mamilioni ya dola za kimarekani kwa yeyote atakaefanikisha kumwua au
kumkamata Ali Abdallah Saleh kiongzi wa zamani nchini Yemen na
Abdilmalik Al Huthi kiongozi wa wanamgambo wa kishia wa Huthi.
Taarifa
rasmi iliyotolewa na Uongozi wa Al Qaida Tawi la Arabuni ilisema kuwa
chanzo cha Shari yote nchini Yemen ni Ali Abdallah Saleh na yeyote
atakaefanikiwa kumwua atapewa zawadi ya Dhahabu yenye uzito wa KG 40.
Al
Qaida imesema kuwa Ali Abdallah Saleh ni mwanafunzi wa Jamhuri ya
Kishia ya Iran na kutaka kuifanya Yemen ni nchi inayoiunga mkono Iran.
Hata
hivyo Mujahidina wametoa zawadi nyingine ya Dhahabu yenye uzto wa KG 40
kwa yeyote atakae tenganisha kichwa cha kiongozi wa wanamgambo wa
kishia wa Huthi Abdil Malik Al Huthi ambao wanamgambo wake wameuteka
maeneo mengi ya Miji mikubwa nchini Yemen.
Post a Comment