Wakati hali ya usalama ukiendelea kuyumba nchini Kenya Serikali ya
nchi hiyo imetangaza mabadiliko upande wa usalama ili kuepuka na
mashambulio yatakayofanywa na Harakat Al-Shabab Al Mujahideen dhidi ya
miji mikubwa nchini humo.
Kamishna
mkuu wa Polisi nchini Kenya Joseph Bainet amesema kuwa kiongozi mpya
upande wa usalama tayari ameshateuliwa ili kuchukua kuudhibiti usalama
katika mji wa Garissa ambapo mwanzoni mwa mwaka huu kulifanyika
mashambulio makubwa yalio mwaga damu nyingi.
Kamanda
mpa wa Polisi aliyeteuliwa ni Shadrack Maithya Mkristo kupande upande
wa mji wa Nairobi,vyombo vya habari nchini Kenya zimeripoti kuwa mkuu wa
Polisi aliye ondolewa nafasi hiyo ameteuliwa kuwa mkuu wa Usalama
katika mji wa Nakuru.
Shadrack
Maithya ametajwa na vyombo vya habari kuwa ni mtu asiyetarajiwa kufanya
mukubwa katika sekta hiyo nyeti aliyekabidhiwa kwasababu alishwahi
kufanyakazi na Tawala mbalimbali zilizopita na itakumbukuwa kuwa Maithya
ni miongoni mwa viongozi waliotuhumiwa Rushwa iliyoiangamizi Serikali
ya Kenya.
Kuteuliwa
kwa Mkuu huyo wa Polisi katika mji wa Garissa unakuja wakati ambapo
Serikali ya Kenya imewafukuza kazi Maofisa 10 waliokuwa wakifanyakazi
katika Mikoa ya Kaskazini Mashariki na Tanariva.
Post a Comment